CHEKI PICHA ZA KILI TOUR DODOMA ILIVYO FANA HAPO JANA.

clip_image002LINEX kwa stage
roma
Dula na zebwela kwenye stage walisimamia showWapenzi wa burudani dodoma wakiingia katika uwanja wa jamhuri dodoma kwa wingi sana.
Aliyefungua omesho alikuwa Linex Sunday MjedaJamaa huwa anaimba kwa hisia kali sana...aga...Kazi sasa...Ben PolKwa kuzikata huyu nae...Nyomi bado liko pale pale...Kulikuwa na mtiti balaa, mtu kibao si unajua zile?Kidume cha Hip Hop Tanzania kwa mujibu wa tunzo za Kili 2013 Kala Jeremiah..Hip Hop swaggDeejay ChokaRoma Mkatoliki naye….mistari tu...ShowLove ya Jide na Irene KiwiaJide sasa..Prof Jizzle!Mzuka wa Joto hasiraMzuka wa Profesa ulikuwa si wa kawaida jioni ya leo...na show ikaishia hapo...

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post