Diwani wa Kilwa Ndg Haji akitoka kwenye gari baada ya kupata ajali hiyo Mapema leo.
Na Abdulaziz Video,Nachingwea
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi,Mwanja Ibadi pamoja na Diwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi Haji Mulike, wanusurika katika ajali wakiwa njiani kuelekea Wilayani Nachingwea..Katika ajali hiyo mtu mmoja alipata majeraha Madogo
