DAVID DE GEA AMKARIBISHA THIAGO ALCANTARA MANCHESTER - HUU NDIO UJUMBE ALIOMUANDIKIA

clip_image001Pichani ni David De Gea na Thiago Alcantra wakiwa na Kombe waliloshinda jana kati ya Hispania na Italy. Thiago akishinda Hat-trick.clip_image001[6]Pichani chini ni Thiago Alcântara akiwa na mpira uliotumika kwenye fainali ya EURO U21 jana kati ya Hispania na Italy. Thiago aliondoka na mpira huo baada ya kufunga mabao matatu (hat-trick).clip_image002Wachunguzi wa mambo wameuchunguza mpira huo na kugundua kuwa mpira unaonekana ukiwa na maandishi ya kispanish yanayosema ''NOS VEMOS EN MANCHESTER" maana yake kwa kiingereza ni "SEE YOU IN MANCHESTER". Inasemekana maneno hayo yaliandikwa na Golikipa David de Gea. Maandishi mengine yanayoonekana kwenye mpira huo ni ya wachezaji wengine wa timu ya taifa ya Hispania Under 21.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post