CHEKI PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA IZZO BIZNESS “LOVE ME”

clip_image002Siku ya Jana, Mbeya City rapper IZZO BIZNESS was shooting his new music video ambayo itafuata … Ni video ya ngoma yake ya LOVE ME aliyofanya na SHAA pamoja na BARNABA … Ilikuwa ni siku nzima ya kazi kubwa ya shooting ya video hiyo …

Imefanywa na Dir. NICK DIZZO kutoka kampuni ya utengenezaji video ya E-MEDIA … Kila mtu alikuwepo kufanikisha uchukuaji wa video hiyo …

Hizi baadhi ya picha za location tofauti za video hiyo, zitazame hapa chini ;clip_image002[8]clip_image002[10]clip_image002[22]clip_image002[6]clip_image002[12]clip_image002[20]clip_image002[18]clip_image002[14]clip_image002[24]clip_image002[16]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post