HomeHABARI ZA KITAIFA SHEKHE PONDA AHUKUMIWA MWAKA MMOJA byUnknown -12:53:00 PM 0 Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam,imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za KiislamTanzania Shekhe Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru. Tags HABARI ZA KITAIFA Facebook Twitter