Redd's Miss Ustawi wa Jamii kufanyika Mei 17

Walimbwende wanaowania taji la Redd's Miss Ustawi wa Jamii 2013, wakiwa wameweka pozi kwenye picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na shindano lao hilo linalotarajia kufanyika Ijumaa hii (mei 17,2013) katika Ukumbi wa SunSirro, Sinza jijini Dar es Salaam huku wakisindikizwa na Malkia wa Mipasho Tanzania,Bi. Khadija Kopa na Msanii wa Bongo Fleva,Barnaba.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post