Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kukabidhiwa tuzo Mfuko wa GEPF ulipata tuzo kwa kuwa Mfuko unaoongoza katika kutoa huduma katika sekta isiyo rasmi kupitia mpango wake wa VSRS.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bi Irene Isaka akiangalia taarifa za michango yake katika mpango wa hiari wa VSRS.Afisa masoko wa GEPF Mkoa wa Dodoma Bw Josephat Mshana akimkabidhi taarifa (Statemet) ya michango Bi Irene Isaka Mkurugenzi Mkuu wa SSRA.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo juu ya kazi za msingi za Mfuko wa GEPF na faida wazipatazo wanachama wa mpango wa hiari kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa GEPF Bw Daud Msangi.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijaza fomu ya uanachama na kujiunga rasmi katika mpango wa hiari wa kujiwekea akiba katika mfuko wa GEPF akishuhudiwa na Meneja wa Masoko wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina.
Home
»
HABARI ZA KITAIFA
» RAIS JAKAYA KIKWETE AFURAHISHWA NA KUJIUNGA NA MFUKO WA AKIBA WA GEPF KATIKA MPANGO WA HIARI WA KUJIWEKEA AKIBA (VSRS)
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.