MVUA JIJINI TANGA, ZAIDI YA NYUMBA 100 ZIMEATHIRIKA.

 
Mvua kubwa zilizonyeesha kwa siku tatu mfululizo jijini Tanga zimesababisha nyumba zaidi ya 100 kuzungukwa na maji huku mashimo ya Baadhi ya nyumba hizo yakimwaga vinyesi katika makazi ya watu hatua inayoleta hofu ya mlipuko wa magonjwa.
Previous Post Next Post