Unknown Unknown Author
Title: MKUTANO UNAOZUNGUMZIA MASUALA YA UHURU NA USALAMA WA MTANDAO WAANZA LEO MJINI STOCKHOLM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Hon. Carl Bret akifungua mkutano wa STOCKHOLM INTERNET FORUM ON INTERNET FREEDOM FOR GLOBAL DEVELOPMENT - S...

clip_image001Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Hon. Carl Bret akifungua mkutano wa STOCKHOLM INTERNET FORUM ON INTERNET FREEDOM FOR GLOBAL DEVELOPMENT - SIF13.clip_image001[6]Bw. Wilfred Warioba akiwa na Fadi Chehadé, na Raisi na CEO wa (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers, ICANN).

Mkutano unaozungumzia masuala ya uhuru na usalama wa mtandao kwa maendeleo ya Dunia umeaza leo mjini stockholm. Mkutano huo ambao umeandaliwa na Wizara ya mambo ya Nje ya Sweden umefunguliwa leo MEI 22, 2013 na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Hon. Carl Bret.

Mkutano huu muhimu ambao unakutanisha wataalamu wa masuala ya Internet na (policy makers) kutoka nchi zaidi ya Tisini na Tano(95) unazungumzia mambo muhimu kuhusiana na uhuru wa Mtandao ambao unahitaji kulindwa na kuheshimiwa na bila kusahau Usalama wa raia na maendeleo yao.

Mkutano huu wa siku mbili utazungumzia changamoto zilizopo ikiwa na ukweli kwamba kuna baadhi ya serikali za baadhi ya nchi duniani zimekuwa zikitaka kuwa na (control) na maamuzi makubwa kuhusiana na uhuru wa Mtandao(Internet) kwa sababu zao binafsi kwa kisingizio cha usalama au kulinda usalama wa raia.

Mkutano unajadili mambo ya usalama na sera maalumu ambazo zitakuwa zinakubalika zenye kuheshimu uhuru wa habari.

clip_image001[8]Dr. Dorothy Okello form Makerere University and Founder of WOUGNET, Mr. Wilfred Warioba from Commission for Human Rights and Good Governance-Tanzania, Mr. John Ulanga, Executive Director, the Foundation for Civil Society. clip_image002Kutoka kushoto Dr. Jabir Bakari, CEO wa e-Governance-Tanzania, Dr. Dorothy Okello form Makerere University and Founder of WOUGNET, Mr. Wilfred Warioba from Commission for Human Rights and Good Governance-Tanzania, Mr. John Ulanga, Executive Director, the Foundation for Civil Society.clip_image002[6]Kutoka kushoto Mr. John Ulanga, Executive Director, the Foundation for Civil Society Mr. Wilfred Warioba kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dr. Jabir Bakari, CEO wa e-Governance-Tanzania.clip_image002[8]Bw. Warioba kutoka Tume ya haki za Binadamu na Utawala Bora, akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Mhe. Carl Bildt.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top