MAYWEATHER ULINGONI LEO KATIKA PAMBANO LA KWANZA TANGU ATOKE JELA

Fighting shape: Floyd Mayweather weighed in one pound under the welterweight limit at 146lbsFloyd Mayweather alionekana yuko sawa wakati wa kupimzika uzitoThe challenger: Southpaw Robert Guerrero is the underdogGuerrero yuko sawa wakati wa kupimzika uzito
BAADA ya mwaka mmoja nje ya ulingo na miezi miwili jela, bondia bora kabisa duniani, Mmarekani Floyd Mayweather anarejea ulingoni usiku wa leo kwenye ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas.
Pambano lake la mwisho alipigana na Miguel Cotto na kushinda na leo atapambana na Robert Guerrero, ambaye mwenyewe anajiita The Ghost, yaani Mzimu katika uzito wa Welter Raundi 12.

Pambano la Mayweather na Guerrero litaonyeshwa live na BoxNation kupitia Sky Channel 437 na Virgin Channel 546 kuanzia saa 7.30 usiku wa leo sawa na saa 9:30 kwa saa za Tanzania.

Face off: The two fighters are to meet at the MGM Grand in Las VegasUtaona: Mabondia hao wakitambiana wakati wa kupima uzitoEntourage: As usual, many others surrounding the two fightersHunitishi: Mabondia wakitunishiana vifua wakati wa kupima uzito

Previous Post Next Post