Sensei Rumadha Fundi ,kachukua Degree "Associate in Applied Science Cardiopulmonary Respiratory Care"
Sensei Rumadha Fundi ajiongezea taaluma kutoa Usensei wa Karate na Mwalimu wa Yoda na sasa mtaalamu wa tiba za binadamu upande wa mapafu !
Si mwingine bali yule mtanzania mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga. Sensei Rumadha Fundi (3rd Dan,Black Belt ) mwenye maskani yake kule marekani . juzi 17 Mai 2013 Sensei Rumadha Fundi akishangiliwa na kupongezwa na ndugu na marafiki waliomshuhudia akipokea Degree "Associate in Applied Science Cardiopulmonary Respiratory Care" "Collin College, McKinney, Texas, USA.Sensei Rumadha Fundi anaongezea C.V yake kwa kula nondo ya utaalamu wa tiba za mapafu na moyo,Sensei Rumadha sasa amekuwa mtaalam
Respiratory Therapist: Mtaalam wa hewa na gas ya kupumua anaye tibu mapafu na moyo chini ya maelekezo ya mganga wa mapafu"pulmonalogist. Pia, Respiratory therapist anamajukumu mengi kama kuwatibu wagonjwa wa pumu,COPD,Ephysema,Asthma,TB na majonjwa yote yanayohusu mapafu na moyo.
Pia,anauwezo wa kutafsiri damu baada ya kupima hali yamgonjwa kama ana oxygen ya gas inahitaji tiba yeyote.Kwa mengi zaidi kuhusiana na utaalam wa Respiratory Therapist fuata Link ile ipo mwisho wa "Who is Respiratory Therapist? http://en.wikipedia.org/wiki/Respiratory_therapy
Kumjua zaidi Sensei Rumadha Fundi bofya at http://dartalk.com/2013/04/22/sensei-rumadha-fundi-romi-mtaalam-wa-ngazi-za-juu-wa-karate-na-yoga%E2%80%A6/
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.