Hili hili limetokea Mkoani Lindi katika Wilaya ya Nachingwea kijiji cha Marambo, Katika mazishi ya zamzam kimetokea kituko baada ya baba mzazi wa marehemu kutembezewa kichapo mkabulini baada ya kuonekena mtata muda wote kwanza kuwapangia watu masharti wakati ÿeye ni mfiwa, pili makabulini kachagua ÿeye watu wa kuzika.
Tags
HABARI ZA KITAIFA