HUYU NDO MSICHANA KUTOKA BONGO ATAYEKUA MWAKILISHI WA BBA (THE CHASE)

clip_image001Miss Fezza Kessy ndiye mwakilishi kutoka Tanzania atakaye tuwakilisha katika mashindano ya Big Brother Africa 2013.
Big Brother Africa 2013 itaanza tarehe 26 May 2013. Ina jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 kutoka Africa.
clip_image001[7]Mshindi ataondoka na kitita cha dolla laki tatu. Show hii ya big brother itarushwa na station ya M-net.
Watanzania wanaombwa watoe full support kwa mshiriki wetu Fezza Kessy.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post