Usher ala shavu la kupromote gari jipya la Mercedes-Benz A45 AMG

Mercedes-A45-AMG-13C251_020Pop star Usher amepewa shavu la watengenezaji wa magari wa Ujerumani, Mercedes-Benz kupromote gari zao mpya za A45 AMG. Usher ambaye tayari ana miliki gari hilo atazungumza na mashabiki wake kuhusu jinsi alivyoliona gari hilo kupitia Facebook.k-bigpicIkiwa ni sehemu ya kazi yake kama msemaji wa gari hizo, Usher alitembelea kiwanda cha Mercedes Benz kujifunza zaidi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post