Hii ni nyumba ambayo Trey Songz anahamia, huko Hollywood. Anatarajia kuhamia April 1. Ni nyumba iliyopo kwenye eneo la 13,000 sq. ft. ikiwa jirani kabisa na nyumba anayoishi Ne-Yo na ambayo hata hivyo sio yake bali amepanga tu na atakuwa akilipa dola 35,000 kwa mwezi sawa na kama shilingi milioni 56 za kitanzania.
Ina vyumba 10, mabafu 12, movie theater, gym na lift. Zitazame picha zenyewe.








Tags
HABARI ZA WASANII