Siri ya Mtungi Star Search

Je umeshawahi kuwana ndoto ya kuwa muigizaji? Sasa ni nafasi yako kupitia Siri ya Mtungi staa search. Tunatafuta vipaji vipya kuingiza katika msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post