POLENI KWA PICHA HIZI
Mtoto huyu ambaye alizaliwa katika Kituo cha Afya Nyangamara wilaya Lindi Vijijini tarehe 17/2/2013 akiwa na uvimbe juu ya pua yake ukiachia matundu madogo chini ya pua.

Mtoto huyu alihamishiwa katika Hospitali Teule ya Nyangao (CDH) na baadaye kupewa rufaa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Habari za hivi zilizotumwa kwa mtandao huu, zinapasha kuwa tayari mtoto huyo amefanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe huo na hali yake inaendelea vizuri.

Huyu ni mtoto mwingine ambaye amezaliwa katika Kituo cha Afya Nyangamara tarehe 6/3/2013 akiwa na hali hiyo unayoiona. Hapa alikuwa akipatiwa huduma na Madaktari wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Lindi Vijijini - Nyangao.
MAAJABU YA MUNGU
Tags
HABARI ZA KITAIFA