Baada ya kukana kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji wa Tv Penny katika moja ya interview aliyoifanya na kipindi xha xxl, leo hii kupitia kwa Gossip Cop wa u heard ya xxl Diamond amekubali kuwa ni kweli Penny ndio mpenzi wake na anatarajia mtoto nae (Penny ni mja mzito), na ameamua kumnunulia gari kwa ajili ya kumsaidia kwenye mizunguko ya kliniki ofisini na shughuli zingine " yaaa thatsssssss, unajuaaaaaa, mmmmhhhhh, yah thats true thats true unajua sa sio tu ni mpenzi wangu, anaelekea kuwa mama watoto wangu, kwasababu ya mizunguko ya kwenda clinik na nini ikawa sio vizuri kujitia kwenye madaladala au kuanza kugombania prado hiyo hiyo au achukue gari ya mama Naseeb au nini unajua, kwahiyo nikaona nivizuri nikimnunulia gari yake yeye ambayo atakua anaendea clinik na sehem zingine"
kama unakumbuka 23 Feb 2013, tukupa story kuhusiana na kile alichokisema Diamond kuhusu uhusiano wake wa sasa na mtangazaji wa DTV Penny, ambapo alisema si kweli hawana uhusiano wowote na picha zilizokuwa zikionekana ni picha kutoka kwenye movie ambayo wanaifanya...
trararantaraaaaaaaaa.....movie ndio hiyooooooo trela ishatoka, tusubiri movie nzima pale Diamond Jr atakapozaliwa..
Kufuatia taarifa hiyo, mastaa kibao wamejitokeza kuwapongeza wapenzi hao akiwemo Diva wa Clouds FM aliyeandika kupitia Instagram, “Hongera to My @Vjpenny04 …@diamondplatnumz . Am gonna be an Aunt soon. I need that Baby girl. Good hearted like mommy.
Teddykaegele: My Penny is too damn beautiful; I’m wishing her for a baby girl… so she can be as adorable like her mum.
Lorriefashion_vintage: no way!!seriously?? preg?Penny? may God secure her from all evils..
Congrats Diamond and Penny.
Tags
HABARI ZA WASANII