CRISTIANO RONALDO AIMALIZA MAN UNITED KWA KUFUNGA GOLI LA USHINDI

Match winner: Ronaldo's goal sent his former team-mates crashing out of the Champions League Mshindi wa mechi: Bao la Ronaldo limeitoa timu yake ya zamaniMod stunner: The former Spurs midfielder fired home an unstoppable equaliserKiungo wa zamani wa Spurs, Modric akifunga bao la kusawazisha
NYOTA Cristiano Ronaldo amerejea Manchester na kuifungia bao la ushindi Real Madrid lililoitoa timu yake ya zamani katika Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Old Trafford.
Sir Alex Ferguson alimuanzishia benchi Wayne Rooney, lakini wenyeji ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao mapema kipindi cha pili, baada ya Sergio Ramos kujifunga.
Lakini mambo yaliwaharibikia baadaye kidogo tu Man United, baada ya Luis Nani kuonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa kumchezea rafu Alvaro Arbeloa.
Na baada ya hapo, bao la Luka Modric lilifuatiwa na bao la Ronaldo dakika tatu baadaye, hivyo vigogo hao wa Hispania kutinga Robo Fainali. 

VIKOSI, WAFUNGAJI...

Man United: De Gea, Da Silva (Valencia 87), Vidic, Ferdinand, Evra, Carrick, Cleverley (Rooney 73), Nani, Welbeck (Young 80), Giggs, van Persie.
Benchi: Lindegaard, Evans, Hernandez, Kagawa.
Kadi za njano: Evra, Carrick
Kadi nyekundu: Nani dk57. 
Mfungaji: Ramos (Kujifunga) dk48. 

Real Madrid: Diego Lopez, Arbeloa (Modric 59), Varane, Sergio Ramos, Fabio Coentrao, Khedira, Alonso, Di Maria (Kaka 42), Ozil (Pepe 71), Ronaldo,Higuain. 
Benchi: Adan, Benzema, Albiol, Callejon.
Kadi za Njano: Arbeloa, Pepe
Wafungaji: Modric dk67, Ronaldo dk69. 
Refa: Cuneyt Cakir (Uturuki)
Mahudhurio: 74,959 
Red alert: United were reduced to 10 men after Nani was given his marching orders
 Kadi nyekundu: Hapa ndipo ilipofia United baada ya kupungukiwa mchezaji mmojaRed alert: United were reduced to 10 men after Nani was given his marching ordersSir AlexSidelined: Rooney was sensationally dropped for the match and watched from the benchAkitokea benchi: Rooney akipasha kutokea benchi
Slim pickings: Chances were at a premium in the first half, Welbeck went closestWelbeck alikaribia kufunga leo, lakini alikuwa ameoteaSlim pickings: Chances were at a premium in the first half, Welbeck went closestHeads up: Vidic's effort rattled off the post mid way through the first 45 minutesVidic alipiga kichwa kikagonga mwamba kipindi cha kwanzaHeads up: Vidic's effort rattled off the post mid way through the first 45 minutesLandmark: Giggs made his 1,000th appearance in a United shirt on the nightGiggs amecheza mechi ya 1,000 leo Man UnitedLandmark: Giggs made his 1,000th appearance in a United shirt on the nightSign of the times: Ronaldo received a warm welcome on his first match back at Old Trafford Ronaldo amepata mapokezi mazuri leo Old TraffordSign of the times: Ronaldo received a warm welcome on his first match back at Old Trafford Ronaldo alikuwa katika wakati mzuri leoOld TraffordSign of the times: Ronaldo received a warm welcome on his first match back at Old Trafford Ronaldo akipasua Old TraffordSign of the times: Ronaldo received a warm welcome on his first match back at Old Trafford Ronaldo alicheza kwa raha leo




Previous Post Next Post