LEO NI GALATASARAY Vs FC SCHALKE, AC MILAN Vs BARCELONA
RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
MATOKEO:
Jumanne 19 Februari 2013
Arsenal 1 Bayern Munich 3
FC Porto 1 Malaga 0
ARSENAL 1 BAYERN MUNICH 3Ule wa ukame wa Makombe wa tangu Mwaka 2005 unaelekea utaendelea kwa Arsene Wenger na Timu yake Arsenal baada ya jana kupigwa Bao 3-1 Uwanjani kwao Emirates na Bayern Munich katika Mechi ya kwanza ya UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Bao za mapema za Bayern Munich zilielekea kuivunja nguvu Arsenal lakini walipopata Bao la Kipindi cha Pili kupitia Podolski wengi walidhani Arsenal watarudisha na ndipo Manzukic akaua matumaini hayo kwa Bao ambalo, pengine, limewamaliza Arsenal kwenye UCL.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Vermaelen, Arteta, Wilshere, Ramsey, Cazorla, Podolski, Walcott.
Akiba: Mannone, Diaby, Rosicky, Giroud, Oxlade-Chamberlain, Coquelin, Jenkinson.
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Van Buyten, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Muller, Kroos, Ribery, Mandzukic.
Akiba: Starke, Robben, Shaqiri, Rafinha, Gustavo, Gomez,
Tymoschuk.
Refa: Svein Oddvar Moen (Norway)FC PORTO 1 MALAGA CF 0
Bao la Joao Mountiho la Dakika ya 56 Uwanjani Estadio do Dragao limewapa Wenyeji FC Porto ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya Malaga CF ya Spain.
VIKOSI:Porto: Helton, Danilo, Otamendi, Mangala, Alex Sandro, Gonzalez, Fernando, Joao Moutinho, Izmailov, Martinez, Varela.
Akiba: Fabiano, Maicon, Andre Castro, Rodriguez, Liedson, Atsu, Seba.
Malaga: Willy, Sergio Sanchez, Demichelis, Weligton, Antunes, Toulalan, Iturra, Joaquin, Isco, Julio Baptista, Santa Cruz.
Akiba: Kameni, Lugano, Camacho, Saviola, Piazon, Duda, Francisco Portillo.
Refa: Mark Clattenburg (England)