PICHA YA WEMA YALETA UTATA....ANAOLEWA U ANATOLEWA MAHARI???

Picha hii imewekwa na meneja wa Wema Sepetu, mzee wa single Button Martin kadinda akiwa ameiwekea kichwa cha habari
"Usiniulizeeeeee" Picha hii imezua maswali mengi kwani Wema anaonekana akiwa Kama mwanamke wa kiislam anayeendakuolewa au kutolewa mahari. swali linakuja je anayemuoa ni nani?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post