MAN UNITED YAZIDI KUPAA ENGLAND, GIGGS NA VAN PERSIE WATUPIA NYAVUNI KILA MMOJA

Gap: Manchester United moved 12 points clear of rivals City at the top of the tableWachezaji wa Manchester United wakishangilia
KLABU ya Manchester United imeipashia vema misuli Real Madrid na Cristiano Ronaldo wao kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Everton na kuzidi kupaa kileleni mwa Ligi Kuu England kwa pointi 12 zaidi.
Pamoja na Jose Mourinho kuushuhudia mchezo huo, Real Madrid inaonekana haitakuwa na kazi nyepesi mbele ya United ambayo leo ushindi wake umetokana na mabao ya Ryan Giggs na Robin van Persie.
TAKWIMU ZA MECHI
Kikosi Man Utd: De Gea, Da Silva, Vidic, Evans (Smalling 81), Evra, Valencia, Cleverley, Jones (Carrick 56), Giggs, Rooney, Van Persie.
Benchi: Amos, Anderson, Hernandez, Nani, Welbeck.
Wafungaji: Giggs dk 13, Van Persie dk45.
Kikosi Everton: Howard, Neville, Jagielka, Heitinga, Baines, Mirallas (Naismith 70), Osman, Gibson, Pienaar, Fellaini, Anichebe (Jelavic 57).
Benchi: Mucha, Oviedo, Hitzlsperger, Stones, Duffy.
Kadi za njano: Mirallas, Fellaini
Mahudhurio: 75,525
Refa: Mark Halsey (Lancashire)Flying start: Ryan Giggs put Manchester United ahead in the 13th minuteRyan Giggs akiifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 13Cruising: Robin van Persie scored yet again to double United's leadRobin van Persie akifunga la pili








Previous Post Next Post