BALOTELLI AFUNGA BAO LA TATU MECHI MBILI AC MILAN

Leveller: Mario Balotelli strokes home from the penalty spot to earn AC Milan a pointMario Balotelli akifunga kwa penalti
MSHAMBULIAJI Mario Balotelli usiku wa leo amefunga tena bao akiichezea klabu yake mpya, AC Milan akiinusuru kuzama mbele ya Cagliari kwa kupata sare ya 1-1 kutokana na bao lake la penalti.
Akitoka kufunga mabao mawili, likiwemo la penalti ya dakika ya mwisho Milan ikiifunga Udinese katika mechi yake ya kwanza kwenye klabu hiyo, siku saba zilizopita, mchezaji huyo aliyenunuliwa kwa Pauni Milioni 19, Januari kutoka Manchester City aliibeba tena timu yake mpya.
Main man: Balotelli celebrates his goal (above) and also had one disallowed (below) as Milan drewBalotelli akishangilia bao lake na pia alifunga lingine ambalo lilikataliwaMain man: Balotelli celebrates his goal (above) and also had one disallowed (below) as Milan drewBalotelli kazini
Previous Post Next Post