UONGOZI wa LINDI YETU BLOG Unawatakiwa kheri ya mwaka mpya wasomaji wetu wote.
Tunawashukuru kwa kutuunga mkono mwaka 2012 na tunaomba ushrikiano huo uzidi mwaka 2013 ili azima yetu ya kupashana habari zenye uhakika na kuzingatia weledi itimie.
Kumbuka LINDIYETU BLOG ndiyo kimbilio letu
CHAIRMAN LINDI PRESS