Shakira na mpenzi wake mcheza mpira Gerard Piqué wameachia picha kadhaa zinazoonyesha ujauzito wake wakisherehekea ujio wa mtoto wao wa kwanza akiwa amevaa bikini top na sketi, huku boyfriend akiwa hana shati, picha inaonyesha ukaribu wao wakiwa wanasuburi ujio wa mtoto wao wakwanza wakiume
Picha hizi ambazo zilipigwa na Jaume Laiguana, zilitupiwa kwenye mtandao mara baada ya wawili hao kuamua kuungana na UNICEF ku host a virtual baby shower.Shakira, 35, amefata nyayo za ma staa kama Demi Moore and Britney Spears, ambao walishawahi kupiga picha za namna hii wakati wa muda wa mwisho mwisho wa mimba zao.
Shakira na mchezaji huyu wa FC Barcelona walikutana mwaka 2010, pale alipotokea kwenye music video ya Shakira, (waka waka, this time for Africa) ambao ulikua ndio wimbo wa kombe la dunia.