DUNIA IKIADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI LINDI.

705228_443123955750093_50889954_oJUKWAA LIKIWA LIMEPENDEZA TAYARI KWA MAADHIMISHO HAYO LEO HII MGENI RASMI ATAKUWA NI MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.463849_443123705750118_571400778_oHAWA NI BAADHI YA WANANCHI WALIO JITOKEZA SIKU YA LEO HAPA VIWANJA VYA ILULU KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI AMBAYO KITAIFA INAFANYIKA MKOANI LINDI, WAKIWA KATIKA MOJA YA BANDA KIWANJANI HAPA468343_443124012416754_992841763_oWakazi waliojitokeza kuadhimisha siku ya UKIMWI duniani mkoani lindi, wakiangalia burudani zilizokuwa zinaendelea uwanjani hapo.704019_443124005750088_1506545317_o

704699_443123799083442_1084249373_oWatu hawakusita kujitokeza kupima kwa hiari ndani ya uwanja kama uonavyo ndugu msomaji msururu ni mrefu Je wewe umeshacheki afya yako usisite nenda Kacheki sasa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post