ETHIOPIA YAIFUNGA KWA MBINDE SUDAN KUSINI TUSKER CHALLENGE


Mshambuliaji wa Sudan Kusini, Hamisi Leon akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ethiopia katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA Tusker Challenge uliofanyika kwenye Uwanja wa Mandela, Mamboole, Kampala, Uganda. Ethiopia imeshinda 1-0, bao pekee la Yonatal Kebede Teklemariam kipindi cha pili.
Previous Post Next Post