SIMBA YAIFUNGA OLJORO 4:1


Kikosi cha SimbaKikosi cha JKT OljoroMshambuliaji wa Simba, Felix Sunzu akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa timu ya JKT Oljoro katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Simba imeshinda 4-1
Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa JKT Oljoro, Yusuf Nachogote katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Simba imeshinda 4-1Kipa wa JKT Oljoro, Shaibu Issa  akiangalia mpira uliopingwa na Amri Kihemba ukiingia wavuni
Previous Post Next Post