Rais Kikwete amuapisha Mkuu Mpya wa Jeshi la Magereza nchini Kamishna Jenerali John Casmir Minja

KIKWETE 1 Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini ,Kamishna Jenerali John Casmiri Minja akila kiapo mbele ya Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.KIKWETE 2 Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja,akipokea miongozo ya kazi kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi

(picha na Freddy Maro)

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post