K-Lyinn
Kwa mujibu wa Jestina George blog, jestina-george.com, imeripotiwa kwamba mrembo aliyewahi kuwa Miss Tanzania, na mwimbaji Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyinn au K-Lynn amejifungua watoto mapacha wa kiume. Hongera mama!
K-Lyinn wakati wa ujauzito