MH. KHALFANI BARWAN(MB) AKIWAHUTUBIA WAKAZI WA KIJIJI CHA MNAZI MMOJA KATA YA MINGOYO MANISPAA YA LINDI LEO, KAZUNGUMZIA JUU YA UGUNDUZI WA GESI NA MSATAKABALI WA SERIKALI JUU YA MASLAHI YA WANANCHI KATIKA MRADI HUO MKUBWA NCHINI,
Wakazi wa kata ya Mingoyo wakimsikiliza mbunge wao Mh. khalfani barwan(MB) akiwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika hivi leo katika Kijiji cha Mnazi mmoja
Tags
Lindi