MAKAMU WA PILI WA RAIS, MAALIM SEIF KAZINI LEO

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi akifafanua jambo wakati alipokutana na Waandishi wa Habari kuzungumzia masuala ya utendaji wa Serikali ya Awamu ya Saba pamoja na mambo mengine yanayohusu Zanzibar,katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi (wakatikati)akiwa katika Picha ya pamoja na Mawaziri na watendaji wa Sekta mbalimbali hukokatika Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post