Unknown Unknown Author
Title: WAZIRI MEMBE ATEMBELEA WILAYA MPYA YA NYASA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Akisalimiana na mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Ruvuma Daud Masiko ambaye ni kamanda wa takukuru mkoani Ruvuma. Waziri wa ...

Akisalimiana na mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Ruvuma Daud Masiko ambaye ni kamanda wa takukuru mkoani Ruvuma.Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa bernad Membe katika uwanja wa Songea wakati Waziri huyo alipoongoza ujumbe wa wataalamu kuangalia mpaka kati ya Tanzania na nchi ya Malawi katika ziwa nyasa ambapo kumekuwa na mvutano kati ya nchi hizo mbili juu ya uhalali wa umiliki wake.
Mzee Gidion Ndembeka kulia akimuonesha Waziri wa mambo ya nchi za nje Benard membe kitabu chenye mipaka halali kati ya Malawi na Tanzania iliyopo ndani ya ziwa Nyasa

About Author

Advertisement

 
Top