NIJUZE NIJUZE Author
Title: WATU SITA WAHOFIWA KUFA WILAYANI RUANGWA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI JIONI YA LEO.!!!!!
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Breaking News Wakati Naibu Waziri  wa Nishati na Madini yupo Ziarani  Wilayani Ruangwa  leo watu 6 Wahofiwa kufa baada ya kufukiwa ...
Breaking News

Wakati Naibu Waziri  wa Nishati na Madini yupo Ziarani  Wilayani Ruangwa  leo watu 6 Wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na  kifusi mgodini Chimbila (MNACHO) Wilayani Ruangwa-Mkoa wa Lindi Jitihada za kuwaokoa zimekuwa ngumu kutokana na Ukosefu wa zana ....Kufuatia harakati hizo Mpaka sasa Maiti Moja Imepatika.....

Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kupitia mtandao huu

About Author

Advertisement

 
Top