WAISLAMU WAFELI KUMG'OA MUFTI WA TANZANIA

Askari wa Kikosi cha Polisi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa kwenye gari wakifanya doria Dar es Salaam leo, baada ya kuwepo njama ya baadhi ya Waislamu kuandamana kutaka kumg'oa madarakani Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.Baadhi ya waislamu wakiwa nje ya msikiti wa Mtambani, Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kuswali  leo

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post