Serengeti FIESTA 2012 - Bongo Movie Stars (Wema Sepetu, JB, Ray Kigosi, Auntie Ezekiel & Nyerere) .

 
Hii ndio Video inayomuonyesha Aunty Ezekiel akiwa jukwaani akifanya makamuzi akiwa na wenzake wema sepetu na JB na wengine wengi. Je ile kauli ya Msanii ney Wa Mitego ya Kusema "makahaba wako Bongo Movie" Ndio inadhibitishwa na huyu?

Tiririka na Oni lako......
Previous Post Next Post