Unknown Unknown Author
Title: CUF WACHANGISHA FEDHA KUJIPANGA NA UCHAGUZI 2015.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF akichangia pesa kwenye harambee iliyoambatana na matembezi ya hisani kuanzia Buguruni hadi kwenye Viw...

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF akichangia pesa kwenye harambee iliyoambatana na matembezi ya hisani kuanzia Buguruni hadi kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo ambapo zaidi ya Tsh 129 Millioni zilichangishwa.Pesa hizo ni kwaajili ya kueneza kampeni yao ya dira ya mabadiliko mikoani kote kujiandaa na uchaguzi 2015.Prof.Lipumba akimuangalia Mwenyekiti wa Chama hicho Wilaya ya Ilala Saidi Rico alipokua akichangia.
Namna foleni ilivyokua wakati wa uchangiaji huo ambapo kila mmoja alipata fursa ya kusalimiana kwanza na Mwenyekiti huyo kisha ndio anachangia.Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba akiwa amembeba mmoja wa walemavu waliojitokeza kuchangia chama hicho kwenye viwanja vya Jangwani baada ya kumrukia na kumkumbatia.Msongamano wa wanachama wa chama hicho kwenye foleni ya kwenda kuchangia fedha.

About Author

Advertisement

 
Top