Kama umeshaiona video ya Masogange ya Belle 9, tunaamini unamfahamu msichana mrembo aliyemo
humo. Jina lake ni Agness na ni miongoni mwa ma video girls wakali zaidi Bongo.
So hivi karibuni ilivuja video yake inayomwonesha akiwa mtupu. Kwenye picha za
video hiyo mrembo huyo aliyebarikiwa mzigo wa maana kule nyuma, anaonekana akiwa
na nguo ya ndani tu pamoja na bra huku akishake her ass like a pornstar!