Unknown Unknown Author
Title: BABY MADAHA AWA MBOGO BAADA YA KUSHIKWA MAKALIO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
STAA wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha (pichani) amesababisha msala baada ya kushikwa kalio mbele ya meneja wake, Mercey Kayuni M...
STAA wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha (pichani) amesababisha msala baada ya kushikwa kalio mbele ya meneja wake, Mercey Kayuni
Mpekuzi  wetu alilinasa tukio hilo lililojiri wikiendi iliyopita kwenye Baa ya Uhuru Peak, Kinondoni, Dar.
Wakati Baby akiwa amepozi na meneja wake huyo wakibadilishana mawazo, ghafla njemba moja ilikatiza jirani na staa huyo kisha kujifanya kumfahamu na kupitisha mkono kisha kumshika shika makalio  yake , jambo lililosababisha mshikemshike wa vita ya maneno hadi walipotulizwa.
Hata hivyo suala hilo limezua   maswali mengi  miongoni mwa walioshuhudia  sakata hilo  huku wengi  wakidai kuwa   Kujilegeza,   na kuvaa kihasara ndiko kulikopelekea   kushikwa  shikwa makalio  yake.
"Wamezidi  kututega  wash*****  hao. Hii ndo  dawa  yao"....Alisikika mtu mmoja akiongea

Chanzo:-  http://freebongo.blogspot.com/

About Author

Advertisement

 
Top