Unknown Unknown Author
Title: “KIJANA LAZIMA AWE NA KIJANA MWENZIWE” - SHILOLE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
STAA wa filamu na muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ anadaiwa kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa kupenda uhusiano wa kimalavidav...
STAA wa filamu na muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ anadaiwa kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa kupenda uhusiano wa kimalavidavi na vijana wadogo a.k.a Serengeti boys anaowazidi umri.
Chanzo kimedokezwa  kuwa mwanadada huyo alikuwa akifanya siri lakini sasa imevuja kwamba amekuwa akibanjuka na damu changa mfano ukitolewa kwa wasanii wenye  umri mdogo ambao aliwahi kujilainisha kwao kwa kuwahonga visenti na kuwapa gari lake watembelee ‘tauni’.
Baada ya kuzitia habari  hizo , http://freebongo.blogspot.com/ ilimnyatia Shilole na  kumuuliza  kama  analolote  la  kusema, ndipo akatanua kinywa:
“Ninavyojua mapenzi hayachagui umri mkubwa wala mdogo, nawashangaa hao wanaosema hivyo, sasa wanataka niwe na wazee? Mimi ni kijana, lazima niwe na uhusiano na vijana wenzangu.”



About Author

Advertisement

 
Top