MBUNGA WA JIMBO LA KILWA KUSINI.SULEIMAN BUNGARA'BWEGE'AKITANIANA NA
NURDIN BABU KATIKA HAFLA YA KUMUAGAMKUU WA WILAYA RUFIJI AKITETA JAMBO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA,,ADDOH MAPUNDA
WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA KILWA WAKIONGOZWA NA BI MARIAM WAKIENDA KUKABIDHI ZAWADI YAO KWA MKUU WA WILAYA ANAEAGWA MBUNGE WA JIMBO LA KILWA KUSINI AKICHEZA TAARAB KATIKA SHEREHE ZA KUAGWA NA KUKARIBISHWA MKUU WA WILAYA YA KILWA MKE WA MKUU WA WILAYA YA RUFIJI ANAEAGWA KILWA AKIFURAHIA SHEREHE HIYO NURDIN BABU KATIKA HAFLA YA KUMUAGAMKUU WA WILAYA RUFIJI AKITETA JAMBO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA,,ADDOH MAPUNDA
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi,Abdallah Ulega amewataka Wananchi wa Wilaya ya Kilwa pamoja na Halmashauri ya wilaya hiyo kumpa ushirikiano wa hali ya juu ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kusaidia kuhimiza maendeleo wilayani humo Ulega ameyasema hayo alipokuwa akijitambulisha na kukaribishwa wilayani humo uku Nurdin Babu aliekuwa wilaya Hiyo kuteuliwa kwenda Mafia kabla ya kubadilishwa tena kwenda kuwa Mkuu wa wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani. Aidha alisema mbali na msaada ambao anauhitaji katika Wilaya hiyo kutoka kwao pia anahitaji mashirikiano makubwa ambayo yatamfanya afanye kazi zake kwa urahisi zaidi katika kukabiliana na changamoto na fursa zilizopo kuhakikisha kila mwananchi anaishi kwa maisha bora Naye aliyekuwa Mkuu wa wilaya Hiyo kabla ya Uteuzi wa Mheshimiwa Rais,,,Nurdin Babu ameeleza kuwa wilaya hiyo yenye Rasilimali nyingi bado ina changamoto kubwa ikiwemo wananchi wake kukabiliwa na Malumbano ya Siasa '''Ulega ndugu yangu wilaya ya Kilwa ni Ngumu na ilikuwa inaninyima Usingizi kutokana na siasa za Kina Bwege kuzuia shughuli za Maendeleo lakini Nakueleza Tumia kanuni na Busara kwa Kukaa nao meza moja kama ilivyo leo hapa mezani,,,,Kilwa ina gesi,selous,gypsum,mafuta,Bahari na vingi vya kuwa Tajiri Shirikiana nao ,,Alimalizia Nurdin Sherehe hiyo iliyohudhuriwa pia na Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Ludovick Mwananzira na kamati ya Ulinzi na Usalama ilifanyika katika Bustani ya Hotel ya Sultan ndani ya Mji mdogo wa kitalii wa Kilwa Masoko.
Picha na Habari..Mdau Abdulaziz