KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AHMEID ABDULAZIZ

image LEO NI MIAKA 27  TOKA BABA MPENDWA WA AHMEID ABDULAZIZ AFARIKI DUNIA  TAREHE 05/07/1985....MAREHEMU ALIFARIKI GHAFLA AKIWA OFISINI KWAKE CCM MJINI MAGHARIBI NA KUSAFIRISHWA  KWA MAZISHI KATIKA KIJIJI CHA MCHINGA LINDI....WOTE KWA PAMOJA NAOMBA MUUNGANE NA FAMILIA HIYO KATIKA KUMUOMBEA DUA..

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post