KIKAO CHA MADIWANI CHAENDELEA WILAYANI KILWA

image MKUU WA MKOA WA LINDI,LUDOVICK MWANANZIRA AKIHUTUBIA KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI KINACHOENDELEAimage BAADHI YA MADIWANI WAKIMSIKILIZA MKUU WA MKOA WA LINDI KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANIimage WANANCHI WILAYA YA KILWA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUHESABIWA TAREHE 26 AUG, 2012 NA PIA KUSHIRIKI KATIKA KUTOA MAONI YA KATIBA
WITO HUO UMETOLEWA NA MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZIRA ALIPOKUWA AKIHUTUBIA KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI
KINACHOENDELEA KATIKA UKUMBI WA JUMBA LA MAENDELEO CHINI YA UENYEKITI WA MHE FARIDA KIKOLEKA-MAKAMU MWENYEKITI WA ALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post