UPDATES: LULU AGOMA KUSEMA CHOCHOTE POLISI, MAREHEMU KUAGWA J4 LEADERS.

529329_331549010239522_100001532776310_927714_1107268378_n

Kutokana na utata wa kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba The Great,mpaka sasa hivi inadaiwa kuwa Lulu ndo atakua anajua kilichotokea chumbani kabla ya kifo cha Kanumba, kwani walikua wote chumbani kama wapenzi, kabla ya mwanadada huyo kmwita ndugu wa kanumba na yeye kutoroka,

Sasa baada ya kukamatwa na Polisi, Lulu amegoma kutoa maelezo polisi mpaka mwanasheria wake afike, na vile vile ameomba arekodiwe kila atakachoongea ili ushahidi usije ukapindishwa.

So polisi hawana budi kusubiri mpaka mwanasheria wa Lulu atakapofika.
Kwa wakati huu Lulu na yule mwanaume aliyekamatwa nae wamewekwa chini ya Ulinzi mkali wa polisi. Pia  Marehemu Steven Kanumba anataraji kuagwa siku ya Jumanne katika viwanja vya Lidaz jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post