Wiz Khalifa Ajikadiria Kuingiza Dolla za Kimarekani Millioni 100 Mwaka huu

image Wiz Khalifa aliingia kwenye Forbes kwenye orodha ya HIPHOP CASH KINGS 2011 kwakufanikiwa kuingiza dollar za kimarekani millioni 11,kutoka vyanzo mbalimbali kama mauzo ya albamu yake ,matamasha na biashara zake kadhaa.
Katika mahojiano yake na mtandao wa Forbes alivyokuwa kwenye party yake ya kusikiliza mixtape yake mpya inayojulikana kwajina la Taylor Allderdice,Wiz khalifa alijikadiria mwaka huu ataingiza dollar zakimarekani millioni 100.Msanii huyo kutoka pande za Pittsburgh, Pennsylvania alisema maneno haya "Oh yeah, man, I'm going to make $100 million this year," he said. "No doubt, $100 million. The new mixtape [will] get everybody ready and get their wallets open."Kwasasa anajiandaa kuachia mixtape yake mpya ya Taylor Allderdice na baada ya hapo atakuja kuachia album yake ya pili iitwayo.O.N.I.F.C

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post