David De Gea ndie atakuwa langoni dhidi ya Chelsea Jumapili

image David De Gea yupo tayari kutoa suluhisho la tatizo la golikipa katika kikosi cha Manchester United at Stamford Bridge baada ya kuitumia siku ya alhamisi kumshawishi Sir Alex Ferguson kuwa yupo fit kwa kufanya session mbili za mazoezi.

Ferguson alikuwa na hofu kumuanzisha the 21-year third choice keeper Ben Amos katika mechi ya Jumapili dhidi ya Chelsea, baada ya De Gea kuumwa ghafla huku Anders Lindegaard akiumia enka.

Lakini jana De Gea alirudi mazoezini na kumpa ahueni Fergie, hivyo mhispania huyo atasimama langoni siku ya Jumapili.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post