YALIYO MKUTA DIAMOND.!

image Jana usiku mkali akitoka katika mishe mishe zake, Diamond alipaki gari nje ya nyumba yake, asubuhi kuamka akakuta wenye mali zao washaondoka na power windo zote, radio, system ya AC, pamoja na begi lililokuwa na nguo kibao, cheni za gold pamoja na saa kibao kibao tu ambazo alikua akizitumia katika shooting ya video ya mawazo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post