Hatimaye wale Mastaa wa BBA wafunga ndoa ni kati ya Mtanzania Mwisho Mwampamba na Merly wa Namibia, Mpango mzima huo umetekelezwa nchini Namibia.
Mungu awape maisha ya Uvumilivu wa Ndoa ili muishi pamoja hadi Mungu atakavyo wapenda.
Tags
HABARI ZA WASANII