NEW LINDI VIJANA SACCOS YAPATA UONGOZI

DSC01175New Vijana Lindi  Saccos ni chama cha ushirika cha vijana wa Lindi ambacho kilianza kutafuta wanachama kuanzia mwezi wa March,2011 chini ya usimamizi wa Ndugu: Mwalimu Ally Makinda ambaye alikuwa kama mwenyekiti wakati huo na kupata jumla ya wanachama waanzilishi wapatao 6. Hadi kufikia leo Saccos hiyo ina jumla ya wanachama zaidi ya 30 ambayo imepata usajili wake tayari.

UCHAGUZI

DSC01194Uchaguzi uliendesha na Msimamizi wa vyama vya Ushirika Mjini lindi Ndg: LUKE (katika picha aliye simama).
DSC01199
Na walio fanikiwa kuwa wajumbe wa Bodi na mwenyekiti na mwenyekiti msaidizi ni hawa wafuatao.

WAJUMBE WA BODI

1. Mwalimu Ally Makinda - Mwenyekiti

2. Saidi Aron Rashid – M/kiti Msaidizi

3. Miraji Ally Mvungi

4. Amri Saidi Mohamedi

5. Athumani Saidi Sinani

6. Rajabu Ally Kipara

7. Hussein Amani Kisango

KAMATI YA USIMAMIZI

1. Fungwa Shabani Kilozo

2. Daudi Jackson

3. Fatuma Said Mohamedi

UAKILISHI NJE YA CHAMA

1. ASHA MCHEKENJE

DSC01209

SACCOS HIYO IMEANZA KUUZA HISA ZAKE NA HISA MOJA INAUZWA KWA TSH 10,000/=. HIVYO WANAKARIBISHA WANACHAMA WAPYA WANAOTAKA KUJIUNGA NA CHAMA HICHO CHA USHIRIKA.

NEW VIJANA LINDI SACCOS INAPATIKA BARABARA YA ILULU JENGO LA OFISI ZA BAYPORT, GHOROFA YA KWANZA S.L.P 720, LINDI
Previous Post Next Post