Yanga 'mwaka wa shetani'

image

BAO lililofungwa dakika ya 20 na mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco 'Adebayor', limerudisha majonzi kwa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga baada ya kulala kwa bao 1-0 katika mfululizo wa mechi za ligi hiyo.

Yanga ilianza tambo, baada ya kuinyuka African Lyon bao 2-1 ukiwa ndiyo ushindi wake wa kwanza katika michezo minne ya ligi hiyo, lakini jana imejikuta ikiwatoa mashabiki wake uwanjani vichwa chini baada ya kukubali kipigo hicho.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post